Mwenyewe anasema "ni kawaida yangu kufanya maajabu kila ninapofanya ngoma mpya",jamaa amefanya bonge la ngoma linalokwenda kwa jina la MTI,na akiwa pia anajiandaa kufanya ngoma nyingine inayoitwa FAIDIKA,jamaa ana historia ya kufanya vizuri katika kila nyimbo anayotengeneza kuanzia song yake ya kwanza inayoitwa MAPENZI,then akafanya bonge la ngoma na STARA THOMAS iliyoitwa NIPIGIE,so tusubiri MTI tuuone ukoje.
Msanii A.T akiwa kwenye pozi ndani ya studio za Tattoo Recordz jijini Dar
A.T akiwa kwenye pozi na mkurugenzi wa Tattoo Recordz "Brother Tattoo".
Msanii A.T akiwa kwenye pozi ndani ya studio za Tattoo Recordz jijini Dar
A.T akiwa kwenye pozi na mkurugenzi wa Tattoo Recordz "Brother Tattoo".
Mkurugenzi wa Tattoo Recordz anamzungumziaje A.T "jamaa kiukweli anaweza,mwanzo sikuwa nafahamiana nae ila nilipata nafasi ya kuonana na mchizi pale msanii Dorika kutoka Zanzibar alipokuja kutengeneza kazi hapa kwangu,yeye ndiye aliyenikutanisha na A.T basi tukazungumza mawili matatu na mwisho wa siku tukaona tufanye kazi,ila ieleweke kuwa hayuko lebo Tattoo ila ni mmoja kati ya wasanii wanaofanya kazi na Tattoo na ninaukubali sana uwezo wake kama msanii,ana kipaji".




No comments:
Post a Comment