Wednesday, March 30, 2011

Mkali wa Kung fu Jackie Chan atupiwa balaa la kifo

 Mtu mzima na smile ya ajabu katika muvi ya spy next door.
Chan katika action enzi hizo jamaa ndo analianzisha game.




Mkali wa mapigo ya Kungfu comedy Jackie chan amezushiwa kufariki dunia,huku vichwa vingi vya uvumi huo vikipambwa na maneno R.I.P JACK CHAN ,Hakuna ambaye hakushtushwa na uvumi huu ,ambao chanzo chake ni masiala tu ya wapenzi wa mkali huyu na njia mojawapo ya kumpa shavu na watu wengi kweli wameamini uvumi huo, Lakini watu wa karibu na mtu mzima Chan wanasema Jamaa mzima na anakatiza kitaa kama kawa,so katika fununu fununu za kutaka kujua R.I.P JACK CHAN inamaanisha nini ,Wadau katika mtandao wa Twitter wanasema R.I.P JACK CHAN inamaanisha REALLY INSPIRING PERSON ,wakimaanisha mtu mzima Chan anavutia ama kushawishi sana kimaendeleo,watu kweli na masiala yao.


R.I.P JACK CHAN its true brada your are a really inspiring person.

1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...