Monday, April 4, 2011

Lloyd Lawrence Msomi anayeamini Hiphop Inaweza Kubadili Maisha Ya Waganda wengi


 Lloyd Lawrence a.k.a The President on the pose
Lloyd Lawrence on the right with his associate friend
 Lloyd Lawrence on tha shooting for Kawempe Anthem song
 Lloyd with his group members on tha Kawempe Anthem video making
Lloyd on tha action for Kawempe Anthem Video

Jamaa akiwa na Degree ya IT kutoka Makerere University nchini Uganda anaamini Hiphop ni sehemu ya chombo cha kutetea haki za wanyonge nchini humo, Jamaa anasema "We say we are not in war yet we fight poverty everyday,We say we are free yet an African Child suffers from various diseases so called Child abuse,Homeless and so many other shamefull life they experience each second of their sorrow life" jamaa anaongeza "I know men can fight for themselves but lets talk about those poor women who have no power or authority to even stand for their own rights,its time now Uganda needs to stand up n Hiphop its the only way to make the things right n  truth known",
Lloyd kuonyesha yu makini na anachokifanya ameanzisha Music Company inayokwenda kwa jina la DOUBLE HITS na yeye akisimama kama President wa kampuni hiyo, na tayari wameshasimamisha ngoma inayokwenda kwa jina la KAWEMPE ANTHEM ikiwa Redio na Kideoni na tayari EA.TV imeshaanza kuicheza ngoma hiyo.
Kawempe ndio kitongoji anachotokea Lloyd na ni mtoto wa pili katika familia ya watoto watano jamaa akiwa mtoto pekee wa kiume,mwanzo hakuwa na hisia zozote za kufanya muziki na mpaka anafika mwaka wa pili chuo kikuu hakuwa na harakati za muziki lakini matatizo ya kila siku nchini Uganda ndiyo yaliyomfanya Llord kuingia katika Hiphop na kuendeleza harakati zilizoanzwa na wakali kama GNL ,VAMPOS ,NAVIO na wengineo wengi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...