Picha ya nyama nyekundu (Red meat) kwa hisani ya free digital photos.
Picha ya muuza butcher na nyama kwa hisani ya foto search.
Picha ya nyama ikiwa katika vipande tayari kwa kupikwa.
Picha ya nyama iniwa imekatwa vipande tayari kwa kuuzwa maduka ya nyama na supermarket.
Kuna habari za kusikitisha ambazo Blog yetu imefanikiwa kuzipata kutoka mtaani,inasemekana kuna aina mpya ya nyama ambayo inauzwa mabuchani kwa sasa,nyama hiyo imesambaa karibia sehemu kubwa ya Dar es saalam na imeshtusha watu wengi kwa jinsi inavyowahi sana kuiva,aidha kinachowashangaza wakazi wengi haswa wa uswahilini ni kuwa kwa kawaida nyama ya utumbo huchukua dakika 45 (arobaini na tano) mpaka saa 1:30 (saa moja na nusu) kwa kutumia kuni,jiko la mafuta au mkaa,lakini kinachowashangaza watu wengi ni kuwa nyama hii mpya ya utumbo inachukua dakika 15 mpaka 20 kuiva,na kwa utumbo ulivyo mgumu si kawaida,na kwa nyama ya kawaida yaani steki inatakiwa angalau dakika 25 au 30 (nusu saa) ipate kuiva vizuri na cha kushangaza zaidi nyama hii mpya inaiva chini ya dakika kumi,yaani yale maji ya kuoshea yakikauka tu na nyama imeiva,sasa katika kuthibitisha hili tumeongea na wakina mama kadhaa maeneo ya msasani,pugu,kariakoo,kinondoni ambao wote wamesisitiza kukumbana na jambo hili na kuomba litazamwe kwa makini na Mama Hellena wa Oystarbay akasisitiza "isije kuwa hawa wanachoma sindano za maiti ili nyama isiharibike mmmh mi mwenzenu naogopa",
na harakati hazikuishia hapo tukatafuta wataalam wa masuala ya nyama na madawa nao walikuwa na haya ya kusema "hatufahamu kama kuna kitu cha aina hiyo ila kama ni kweli basi nadhani kutakuwa kuna aina ya sindano hawa ngo'ombe wanachomwa wasialibike au kunuka na hawa wauzaji ama wachinjaji ila tutalifanyia kazi tuone kama lina ukweli ndani yake".
Na haijafahamika mara moja kama ni kweli nyama hizo zinachomwa sindano ama la?,lakini mimi na wewe tujiulize kama ni sindano bac ya aina gani mpaka iweze kutunza nyama isiharikike na je ina madhara gani kwa afya ya mwanadamu?.
Haya serikali na wadau wa afya kimbembe kimeanza na nyama tafadhali chunguzeni mtupe jibu linaloeleweka kwani kwa sasa afya zetu zipo mashakani na hatujui madhara gani yanakuja.
Kwa Hisani ya Uongozi,
Tattoo Recordz.

No comments:
Post a Comment