Mmea wa Aloe Vera ambao unasifika sana kwa kuwa dawa.
Aloe Vera likitumika kama ua au pambo kwa matumizi ya nyumbani.
Shamba au Bustani ya mimea ya Aloe Vera ikiwa imestawi vizuri.
Jamii itakubaliana na mimi juu ya Mmea huu unaotumika kama Dawa,Mapambo na sehemu ya urembo, inawezekana unatumia mafuta,lotion au hata sabuni za mmea huu pasipo kufahamu kwa nini unapaswa kutumia, si sehemu tu ya urembo kwa wakina mama ama utanashati kwa wakina baba lakini ni sehemu ya afya kwa ngozi zao.
Pili mmea huu unatumika kama mapambo au maua ya kupendezesha nyumba,na watu wengi wamekuwa hawaujali ama kuuhitaji kwa kiasi kikubwa kama wafanyavyo kwa aina nyingine ya maua lakini pia hawawezi kuuepuka ukweli wa takwimu iliyofanyika na watu wa masuala ya mapambo na urembo na kuonekana kuwa katika nyumba kumi zenye aina tofauti za maua basi nyumba sita zimepandwa mmea huu kama sehemu ya maua.
Na tatu Mmea huu unatumika kama tiba ama dawa kwa magonjwa mbalimbali ikiwamo Ukimwi, kwa ugonjwa wa ukimwi mmea huu unatumika kupandisha CD4 (kinga za) mwilini na inapotumiwa vizuri kwa kipindi flani basi mgonjwa hujikuta katika afya njema, japo haimalizi tatizo na anashauriwa kuendelea na dozi ama matibabu yake ya kila siku.
Huo ndio mualoe vera mmea unaotumika kama dawa, pambo na sehemu ya afya ya mwanadamu, kama hukuwa unauzingatia basi uzingatie sasa.

No comments:
Post a Comment