Hakuna ambaye anajua harakati huanza vipi ama huishia vipi, wote tunajikuta tunafanya tu, wengi kwa mapenzi, wengi kwa kuwa tunahitaji kufanya, kuwa tofauti fanya harakati kwa sababu yako na wengine.